

Simama Pamoja Nasi Kuandaa Watumishi wa Mungu
SHEKINAH THEOLOGICAL SEMINARY (STS)
Mchango wako wa kila mwezi unaendesha chuo, unalisha wanafunzi, na unawaandaa wahubiri watakaowafikia maelfu kwa Kristo.
“Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.”
— 2 Wakorintho 9:7
Kabla hujatoa, kumbuka yafuatayo
Tsh. 1,000 yako inaweza kusaidia kumwandaa mhubiri mmoja atakayewafikia maelfu kwa Kristo!
Sadaka yako ya Tsh. 1,000 leo inaweza kuwa mwanzo wa makanisa mapya kesho!
Huwezi kwenda kila mahali kuhubiri, lakini Tsh. 1,000 yako inaweza kusaidia kumwandaa atakayekwenda!
Njia Mbili za Kuchangia
Michango Binafsi
Ahadi ya kila muumini ya kuanzia TSh 1,000/= au zaidi kila mwezi, kupitia M-Pesa.
Michango ya Kanisa
Sadaka ya kanisa: vyakula, vitu, fedha taslimu au mchanganyiko wa vyote.
Thibitisha kwa Simu
Ukishawa umechangia, piga simu kuthibitisha malipo yako moja kwa moja.
Piga 0769 080 629
Lipa kwa M-Pesa0759 883 388
Jina litasoma: Daniel John Seni
Tuma mchango kwanza, kisha jaza fomu hapa chini ukiwa na namba ya muamala.
Umelipa? Jaza fomu sasa